Ugonjwa wa tezi dume ni nini

Tezi dume ni tezi inayopatikana kwa jinsia ya kiume. Majimaji haya husaidia mbegu za kiume kutembea kwa urahisi. Tezi dume iko mwishoni mwa kibofu cha mkojo. Saratani ya tezi dume ni nini? Saratani ya tezi dume maana yake ni tezi dume imepata ugonjwa wa saratani. Na hii hutokea pale ambapo chembechembe hai za tezi huasi na kuanza kujigawanya bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili, chembechembe asi hizi mwishowe hutengeneza vivimbe hatari ndani ya tezi dume na hatimaye husambaa mwilini.

Dalili zake ni zipi? Wanaume wote wanpaswa kufanya uchunguzi wa saratani ya tezi dume kuanzia miaka Kwa wale wenye historia katika familia wanapaswa kuanza wakiwa na umri wa miaka Jinsi ya kutibu saratani ya tezi dume.

Baadhi ya wagonjwa hufaidika na tiba hii, dawa hutolewa kwa muda mfupi na kufuatilia maendeleo ya mgomjwa kwa kufanya PSA,dawa inaweza kuwa moja au mchanganyiko. Ni muhimu kufuatilia hali ya tezi isirejee baada ya ugonjwa kutibiwa kwa kufanya kipimo cha PSA mara kwa mara angalau miezi mitatu mara moja.

Tezi dume ni nini? Ipo wapi?Tezi dume hupatikana kwa wanaume tu.

ugonjwa wa tezi dume ni nini

Tezi hili likiongezeka kwa ukubwa yaani inapopanuka,hasa kwa wanaume wenye umri wa zaidi ya miaka sitini, hutatiza kukojoa.

Ugonjwa huu unazidi kuongezeka duniani kwani watu wanaishi maisha marefu zaidi siku hizi. Tezi dumeni kiungo kidogo na ni sehemu moja ya uzazi wa wanaume. Hupatikana chini ya kibofu na mbele ya mwanzo cha njia itoayo mkojo hupitia ndani ya tezi dume.

Etka 7.5 download portugues

Tezi dume ndiyo hutoa maji yabebayo mbegu manii ya mwanaume. Kupanuka kwa tezi dume ni tatizo la kawaida ambalo halisababishwi na ugonjwa wa saratani kansa. Huwa ni jambo la kawaida kwa karibu kila mwanaume mzee.

Miaka inavyoenda,ndivyo tezi dume huzidi kuwa kubwa; na hufinya njia ya mkojo na kuziba mkojo. Hivyo mkojo hutoka polepole. Dalili huonekana baada ya umri wa miaka ya hamsini. Karibu wanaume wote wenye umri wa sabini na themanini huwa na tatizo hili. Dalili huanza polepole na kuzidi jinsi miaka inavyoongezeka. Dalili hizi ni kama zifuatazo:.

Tezi dume ikitanuka sana huleta matatizo mengi kwa wagonjwa wengine hali hii isipotibiwa. Matatizo hayo ni kama yafuatayo:.

ugonjwa wa tezi dume ni nini

Kipimo hiki chenye chanzo chake Marekani huwezesha kutambua ugonjwa wa kibofu. Maswali yanayohusiana na ugonjwa huu huulizwa ili kutathmini matatizo yaliyopo. Hivyo kiasi cha shida iliyopo hujulikana kwa kuhesabu dalili zilizopo. Dalili za magonjwa haya mawili hufanana. Kwa hiyo vipimo vya kawaida vilivyotajwa haviwezi kutambua ugonjwa wa saratani.

Lazima vipimo maalum vya saratani vifanywe. Vipimo hivi ni kumpima mgonjwa nyuma kwa kidole, kipimo cha damu kuona kiwango cha PSA nakuchukua kipande cha tezi dume prostate biopsy. Mambo yanayozingatiwa katika matibabu ya tezi dume ni pamoja na ukali wa dalili na jinsi shughuli za mgonjwa zinavyoathirika na dalili za ugonjwa huu. Lengo la matibabu huwa ni kupunguza makali ya dalili,kurahisisha maisha,kupunguza mkojo unaobaki kibofuni na pia kuzuia matatizo yanayokuja na ugonjwa huu.

Hii ndiyo njia inayopendekezwa kwa wanaume ambao wana dalili kidogo ambazo haziwasumbui.Kama umekuwa ukisikia kuhusu ugonjwa wa kansa au saratani na ukawa unajiuliza ni nini ugonjwa huu wa kansa, pitia ukurasa huu ambamo tutatazama maana ya ugonjwa huu, chanzo chake, madhara anayoweza kupata mtu mwenye ugonjwa huu na tiba ambazo hutolewa kukabiliana na tatizo la kuumwa na ugonjwa huu wa kansa. Kansa saratani ni neno lililotolewa kwa kundi la magonjwa yanayosabahiana.

Kuna aina tofauti zaidi ya ya magonjwa yanayoitwa kansa au saratani. Katika aina zote hizi za saratani, baadhi ya seli za mwili huanza kujigawa bila kusimama na kuenea kwenye maeneo ya karibu ya mwili. Kansa huweza kuanza kwenye sehemu yo yote ya mwili.

Kwa kawaida seli za mwili hujigawa na kuzalisha seli mpya kulingana na mahitaji ya mwili, seli za zamani zikiharibika au kuzeeka, seli mpya huchukua nafasi ya seli hizo. Saratani inapotokea, mpangilio huu huvurugika. Kadri uvurugikaji huu unavyozidi, seli za zamani zinaendelea kuishi badala ya kufa na seli mpya hutengenezwa bila mahitaji ya mwili.

Seli hizi za ziada huendelea kujigawa na kujenga uvimbe tumors. Saratani za aina nyingi hujenga uvimbe isipokuwa saratani za damu, kama leukemia, ambapo ugonjwa huu huzuia ufanyakazi kazi wa kawaida wa damu kwa kusababisha kugawanyika kwa seli za damu kusiko kwa kawaida. Uvimbe unaotokana na saratani ni hatari kwa maisha, huweza kuenea kwenye maeneo ya karibu ya mwili na kadiri unavyokua baadhi ya seli huweza kujitoa kutoka eneo moja zikasafiri kupitia mfumo wa damu hadi eneo jingine la mwili na kuanza kujenga uvimbe mpya kwenye eneo hilo jipya mbali kabisa na eneo la awali.

Uvimbe unaotokana na saratani ukiondolewa, huweza kurudia kujijenga upya kabisa.

Hii Ndiyo Njia Mpya ya Kupima Tezi Dume!

Kansa ni ugonjwa unaotokea katika viini vya mwili vinavyohusika na kurithisha tabia kutoka kizazi kimoja hadi kingine genes — ni ugonjwa unaotokana kwa kubadilika kwa genes zinazohusika na ufanyaji kazi wa seli za mwili, na hasa zile zinazohusika na namna seli zinavyokua na kujigawa.

Mabadiliko katika genes yanaweza kuwa ya kurithi kutoka kwa wazazi au yanaweza kutokea katika kipindi cha maisha ya mtu kutokana na hitilafu zilizotokea wakati wa kugawanyika kwa seli au kutokana na uharibifu wa DNA uliotokana na vitu vilivyopo kwenye mazingira viitwavyo carcinogens.

Kila mtu mwenye saratani ana mmchanganyiko tofauti wa sababu zilizopelekea kutokea mabadiliko hayo katika genes zake. Kansa inavyozidi kukua, mabadiliko za ziada huongezeka. Uvimbe mmoja unaweza kuwa na seli zilizozalishwa kutokana na aina tofauti ya badiliko katika genes.

Kansa iliyoenea kutoka sehemu moja ya mwili ilipoanzia hadi sehemu nyingine huitwa metastatic cancer na tendo la kansa kuenea kutoka sehemu moja hadi sehemu nyingine ya mwili huitwa metastasis. Kansa iliyoenea kutoka sehemu moja ya mwili hadi sehemu nyingine huwa na aina ya seli zilezile za sehemu ambako ilitokea na hupewa jina lile lile la aina ya kansa ya sehemu ya mwanzo ilikotokea.

Kwa mfano, kansa ya ziwa iliyoenea na kwenda kujenga uvimbe katika mapafu haitaitwa kansa ya mapafu bali metastatic cancer ya ziwa na uchunguzi kwa vyombo maalumu wa seli za sehemu hizi mbili utaonyesha kufanana kwa seli za sehemu hizo mbili toauti. Kansa hizi zinazotokea kwa kuenea kutoka sehemu moja ya mwili hadi nyingine metastatic cancers huleta madhara makubwa kwa ufanyaji kazi wa mwili na idadi kubwa ya watu wanaofariki kwa saratani, hufariki kwa sababu ya aina hii ya kansa.

Mara nyingi aina za kansa hutajwa kutokana na kiungo ambako kansa hiyo ilianzia. Kwa mfano, kansa iliyoanzia kwenye mapafu itaitwa kansa ya mapafu na ile iliyoanzaia kwenye ubongo itaitwa kansa ya ubongo.

ugonjwa wa tezi dume ni nini

Kuna namna nyingine za kuzitofautisha kansa, kama vile kwa kutaja aina ya seli zilizozijenga kansa hizo. Carcinoma Carcinomas ndizo kansa zinazoshambulia zaidi watu kuliko aina nyingine zote za kansa. Kansa hizi zinajengwa na seli zinazofunika maeneo ya ndani na ya nje ya mwili epithelial cells ambazo zipo za aina nyingi.

Adenocarcinoma ni kansa zinajojenga seli za epithelial zinazozalisha majimaji au ute. Kansa nyingi za maziwa, utumbo na tezi kuu huwa ni za aina hii adenocarcinomas. Basal cell carcinoma ni aina ya kansa inayoanzia kwenye tabaka la chini la epidermis — epidermis ni sehemu ya juu ya ngozi ya mwili.

Squamous cell carcinoma ni kansa inayojenga kwenye seli ziitwazo squamous cells — ambazo ni seli za epithelial zilizo chini ya ngozi mara baada ya sehemu ya juu kabisa ya ngozi. Kansa za aina hii pia huitwa epidermoid carcinomas. Pia kuna aina ya kansa iitwayo Transitional cell carcinoma ambayo hushambulia ngozi inayofunika kibofu cha mkojo, ureters, sehemu za figo na maeneo mengine. Sarcoma Kundi hili la kansa linajumuisha saratani zinazojenga kwenye mifupa na sehemu laini za amwili kama kwenye misuli, mafuta, mishipa ya damu.

Katika kansa za mifupa osteosarcoma ndiyo inayoshambulia idadi kubwa zaidi ya watu. Osteosarcoma huanzia kwenye seli za kuzalisha mifupa mipya osteoblasts na ni aina saratani amabya hushambulia zaidi vijana wa umri mdogo.MOJA ya maradhi yanayoshuhudia kampeni kubwa kukabiliana nayo katika miaka ya hivi karibuni duniani ni pamoja na saratani ya tezi dume kutokana na ukubwa wa athari inazosababisha. Ni maradhi yanayoshika nafasi ya tatu kwa kusababisha vifo vinavyotokana na saratani kwa wanaume duniani.

Pia ni chanzo kikuu cha vifo vinavyosababishwa na saratani kwa wanaume wenye umri wa miaka 70 na kuendelea. Kutokana na takwimu za mwaka za dunia nzima, malaria iliua watukifua kikuu watu milioni 2. Takwimu hizo ni ushuhuda kuwa idadi ya watu waliofariki dunia kutokana na ugonjwa wa saratani ni kubwa ikilinganishwa na ya magonjwa mengine. Lakini habari njema zilizoibuka sasa kuhusu ugonjwa huo ni kuwa moja ya majaribio makubwa kabisa ya kimaabara kwa ajili ya saratani ya tezi dume yametoa matokeo mazuri mno, kwa mujibu ya watafiti wa Uingereza.

Dawa ya kutibu saratani ya tezi dume ambayo imesambaa imebainika kuokoa maisha wakati ilipotolewa mapema kwa mgonjwa, kwa mujibu wa utafiti wao. Majaribio hayo yaliitazama tiba mpya ya homoni ijulikanayo kama abiraterone kama inayotolewa kwa ziada kwa matibabu wapewayo wagonjwa wenye saratani ya tezi dume, ambao walikuwa waanze tiba ya kipindi kirefu ya homoni.

Abiraterone, ambayo pia huitwa Zytiga, ni tiba ya homoni. Ni tofauti na chemotherapy, ambayo huua seli za saratani, hii huzua zaidi homoni za testosterone kuzifikia tezi za kibofu zisije tengeneza uvimbe. Nusu ya wanaume waliotibiwa na tiba ya homoni wakati nusu wengine walipokea tiba ya homoni na abiraterone.

Kati ya wanaume 1, walioshiriki katika jaribio hilo, kulikuwa na vifo katika kundi la wale waliopewa mseto wa dawa kulinganisha na waliopewa tiba moja tu ya homoni. Profess James aliongeza: "Abiraterone tayari inatumika kutibu baadhi ya wanaume, ambao maradhi yamesambaa lakini matokeo yetu yameonesha kuwa wengi zaidi wanaweza kunufaika nayo.

Kila mwaka wanaume 46, wanabainika kuwa na saratani ya tezi dume nchini Uingereza huku 11, wakifariki dunia kutokana na maradhi hayo. ICR pia imeyakaribisha matokeo hayo mapya ya aina yake katika harakati za kutafuta tiba sahihi ya maradhi haya. Profesa Johann de Bono alisema matokeo yalionesha kwamba wakati zilipotumika mwanzo wa matibabu, abiraterone zilikuwa na manufaa mazuri kwa wagonjwa.

Machi mwaka huu, wagonjwa wa saratani ya tezi dume nchini England waliambiwa kwamba watapatiwa mapema tiba ya abiraterone.

Profesa Paul Workman,alisema kwamba anatarajkoa kuiona abiraterone inapitiwa upya na NICE kwa matumizi ya wagonjwa mapema kadir iwezekanavyo.

Neno saratani hutokea wakati chembe chembe za uhai au seli katika sehemu fulani ya mwili zinapoanza kukua bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili na kutengeneza vijiuvimbe vidogo vidogo.

Kwa kawaida seli huwa zinajigawa, kupevuka na baadaye kufa kwa kufuata taratibu za mfumo wa mwili. Lakini seli za saratani hazifuati mfumo huo. Badala ya kufa, zenyewe huishi muda mrefu kuliko chembe chembe za kawaida na wakati huo huo huendelea kutengeneza seli nyingine na kuwa uvimbe wa saratani. Tezi dume hutokea katika mwili wa mamalia wa kiume pekee pale seli katika kiungo hicho zinapoanza kukua bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili hapo ndipo mtu hupata saratani ya tezi dume.

Ugonjwa huu pia hujulikana kama saratani ya kipofu cha mkojo. Kuna visababishi vingi vinavyochangia mwanaume kupata saratani ya tezi dume. Vifuatavyo ni baadhi yake: Kwanza kabisa ni umri.

Nafasi ya kupata saratani ya tezi dume huongezeka sana hasa ukifikia umri wa karibu miaka 50 na kuendelea. Nasaba ni kihatarishi kingine ambapo wanaume wenye historia ya tatizo hili kwenye familia zao, yaani wale ambao mmoja wa ndugu zao wamewahi kuugua ugonjwa huu huwa katika hatarini ya kupata kansa hiyo kutokana na kurithi jeni za ugonjwa huo. Suala jingie ni lishe ambapo wanaume wanaopenda kula nyama na walaji wa chakula chenye kiasi kikubwa cha mafuta hasa ya wanyama huwa katika hatari kubwa ya kupata saratani ya tezi dume wisho.

Katika hatua zake za awali, dalili za saratani ya tezi dume hazitofautiani na zile za kuvimba kwa tezi dume.

Medical image dataset download

Dalili hizo ni pamoja naKupata shida wakati wa kuanza kukojoa, kutiririka kwa mkojo baada ya kumaliza kukojoa, kukojoa mkojo wenye mtiririko dhaifu. Kadhalika kukojoa mara kwa mara hasa nyakati za usiku, Kujikakamua wakati wa kukojoa na kushindwa kumaliza mkojo wote na kutoa mkojo uliochanganyika na damu. Pamoja na kueleza dalili hizo inapaswa kutambulika kuwa, mwanaume anapoanza kuona na kuhisi baadhi ya dalili hizo, anapaswa kujua kuwa, seli za saratani katika tezi dume lake huwa zina umri wa takribani miaka saba na kuendelea.

Iwapo saratani imesambaa mwilini kiasi cha kuhusisha sehemu nyigine za mwili, mgonjwa anaweza kuwa na maumivu makali ya mifupa katika maeneo ya nyonga, mapajani na kiunoni. Aidha mgonjwa huwa na dalili nyingine zinazoweza kumpata mgonjwa mwingine yeyote wa saratani kama vile kupungua uzito, kuhisi kichefuchefu, uchovu, kizunguzungu na kadhalika.

Umass lowell zip code

Wanaume wanashauriwa kufanyiwa uchunguzi kwa kuwa imegundulika kuwa wanaume wengi wakiziona na kuzihisi dalili hizo huona soni kwenda kumwona daktari. Wapo wanaokwenda mbali zaidi hata kuuita ugonjwa huo kuwa ni wanaume wanaopenda uhusiano wa kinyume na maumbile huku wengine wakiurahisisha kwa kuuita kuwa ni ugonjwa wa utu uzima kana kwamba saratani ya tezi dume ni jambo la kawaida kwa watu wazee. Mambo kama hayo hupelekea wanaume wengi kujinyanyapaa wenyewe na hata wengine kujitibu kwa uficho au kwa kutumia waganga wababaishaji mpaka pale mambo yanapokuwa yamewazidi ndipo hupelekwa hospitalini na mara nyingine huwa wamechelewa na kupoteza maisha yao bure kwa ugonjwa ambao ungeweza kutibiwa mapema.

Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment. Mshindi BSS kujulikana Januari Tezi kibofu au tezi dume kama ilivyozoeleka kutamka, ni kiungo ambacho ni sehemu ya mfumo wa uzazi vya mwanamme kinachouzunguka mrija wa mkojo.

Tezi dume ipo katikati ya kibofu cha mkojo na dhakari na ipo mbele kidogo tu ya rektamu. Mrija wa mkojo unapita katikati ya tezi dume ukitokea kwenye kibofu na kuelekea kwenye uume, na kutoa mkojo nje ya mwili.

Tezi dume hutoa majimaji yenye kazi ya kurutubisha na kulinda shahawa. Mwanamme anapofikia kileleni, tezi dume hukamulia maji haya ndani ya mrija wa mkojo na kutolewa pamoja na mbegu kama manii semen. Mirija ya vasa diferentia hutoa mbegu kutoka kwenye korodani hadi kwenye seminal vesicles. Seminal vesicles huchangia majimaji kwenye manii wakati mwanamme anapofikia kumwaga manii. Kwa vile nimetaja kuwa tezi dume ni sehemu ya mfumo wa uzazi wa mwanamme, swali linaweza kuja; Jee, wanawake hawana tezi dume?

Viungo hivi hutoa majimaji yanayosaidia kulainisha tundu la mrija wa mkojo. Viungo hivi ni vidogo ukilinganisha na tezi dume ya mwanamme. Wanaume wote wapo kwenye hatari ya kupata magonjwa ya tezi dume na hasa wanapofikia umri wa miaka Hapa chini tutapitia baadhi ya matatizo yanayowasumbua zaidi wanaume:. Hii ni hali ambapo tezi dume huongezeka ukubwa. Zaidi ya theluthi ya wanaume wote walio juu ya miaka 50 wana dalili za kuvimba kwa tezi dume.

Haijajulikana kwa uhakika ni kwa nini tezi dume huwa kubwa zaidi kadri umri unavyoongezeka, lakini kukua huku si dalili ya kansa na wala hakuongezi uwezekano wa kupata kansa. Hili si tatizo kubwa sana la kiafya.

Kwanini ugonjwa wa tezi dume umeibuka sasa?

Tezi dume iliyoongezeka ukubwa huleta msukumo juu ya mrija wa mkojo na kibofu cha mkojo hali ambayo inaweza kuathiri namna mkojo utakavyotoka. Shida katika kuanza kukojoa au kuubana mkojo. Mtiririko dahifu wa mkojo. Kukojoa kwa shida. Kujisikia kuwa hujamaliza mkojo. Mkojo kuendelea kudondoka kwa muda mrefu baada ya kumaliza. Hali ya kujisikia kukojoa mara kwa mara au ghafla.

Cart titan girl

Kuamka mara nyingi zaidi usiku kwa ajili ya kwenda haja ndogo. Kwa baadhi ya wanaume, dalili zinaweza kuwa ndogo ambazo hazihitaji tiba.Katika hali hii ya ugonjwa sugu wa figo, figo hushindwa kufanya kazi polepole,kwa miezi hata miaka kwa hiyo mwili huzoea hatari za hali hii. Pia, figo huwa na uwezo mkubwa wa kujisaidia katika shida ya kazi zake. Figo huwa na kazi nyingi sana kama kutoa uchafu na maji kwenye mwili, kuzuia shinikizo la damu,kusawazisha kemikali mwiliniuzalishaji wa chembechembe za damu nyekundu mwilini na kadhalika.

20: Uvimbe usio wa Saratani kwenye Tezi dume

Hivyo kutegemea matatizo yaliyoko kwenyefigo, dalili huwa tofauti kati ya mtu mmoja na mwingine katika ugonjwa sugu wa figo. Dalili hutofautiana kulingana na kiwango cha ugonjwa.

Powershell ipv6

Ili kuelewa vyema na kukabiliana na hali hii vizuri,ugonjwa wa figo umegawanywa katika viwango vitano kulingana na kiasi cha utoaji uchafu kwenye figo Glomerular Filtration Rate- GFR ,ambacho ndio kiwango cha kuonyesha jinsi figo zinavyochuja uchafu kutoka kwenye damu.

GFR huhesabiwa kulingana na kiasi cha creatinini kwenye kipimo cha damu.

11: Ugonjwa Sugu wa Figo: Dalili na Utambuzi

Hii ni hatua ya mapema ya ugonjwa huu na figo huwa hazijadhurika. Umajimaji serum creatinini kwenye damu huwa uko katika kiwango cha kawaida.

Katika hatua hii ya kwanza ya CKD tatizo linaweza tu kujulikana mtu anapofanyiwa uchunguzi wa kimatibabu au anapopimwa kwa ugonjwa mwingine. Ishara za hali hii zinaweza kukosekana. Kwa mfano;kuwepo kwa protini kwenye mkojo, sura yafigo kuonekana zimebadilika kwenye picha za eksirei, ultrasound,MRI au CT,historia ya familia yenye ugonjwa wa uvimbe wa figo polycystic kidney.

Tahi lalat di bibir

Hapa figo zimedhurika kidogo. Wagonjwa wanaweza kuwa hawana dalili, lakini ishara zinaweza kuwa ni kukojoa mara nyingi hasa usiku,shinikizo la damu kuwa juu,mkojo usio wa kawaida na creatinini kwenye damu inaweza kuwa juu au hata kawaida.

Ugonjwa huwa na kasi,wagonjwa wanaweza kuwa hawana dalili au wana dalili kidogo pamoja na mkojo kuwa si wa kawaida,na creatinini kwenye damu kuongezeka. Katika hatua hii ya ugonjwa, ugonjwa huwa mkali.

Kuna dalili nyingi, kutegemea chanzo cha kudhoofika kwa figo na magonjwa mengine yaliyoambatana na hali hii. Hii ni hatua ya mwisho na ni ya hatari. Kuna dalili nyingi na nyingine zinazohatarisha hata maisha. Katika hatua hii hata matibabu yakifanywa,dalili za figo kufeli huzidi na wagonjwa wengi huhitaji dayalisisi au kupatiwa figo nyingine. Matatizo ya ugonjwa wa figo uliokaa kwa muda ni yapi? Figo zinapozidi kudhoofika yaweza kuleta hathari nyingine hata kuhatarisha maisha.

Mapema,ugonjwa huu hauna dalili.Homa ya ini hepatitis ni neno linalotumika kujumuisha magonjwa yanayoleta madhara kwenye ini kwa kushambulia na kuzidhuru seli za ini. Ugonjwa huu unaweza kupona wenyewe bila kuleta madhara makubwa au unaweza kuwa mkubwa kiasi cha kuacha makovu kwenye maini. Mara nyingi ugonjwa huu ukiwa mkubwa utamsumbua mgonjwa kwa kipindi kinachoweza kufikia hadi miezi sita.

Ni ugonjwa unaoweza pia kuwa wa muda mrefu zaidi chronic. Kuna aina kuu 5 za ugonjwa huu na aina hizi zote huletwa na virusi. Karibu watu milioni duniani wanashambuliwa na hepatitis C wakati watu wapatao milioni ni wale wanaoweza kueneza ugonjwa wa hepatitis B bila wao wenyewe kudhurika hepatitis B carriers.

Aina nyingine za ugonjwa huu ni hepatitis A, D na E. Uharibifu mwingi wa maini ya binadamu hutokana na aina tatu za virusi wa hepatitis, hepatitis A, B na C. Hepatitis ambayo haitokani na virusi huitwa hepatis X.

Kuna aina ya ugonjwa wa homa ya ini unaotokana na kirusi wa aina ya kipekee kabisa HGV nayo huitwa hepatitis G. Kuna aina nyingi za hepatitis ambazo haziambukizi.

Unywaji wa pombe, utumiaji wa madawa na kemikali vyaweza kuleta uharibifu kwenye maini. Mtu pia anaweza kupata maradhi haya kwa kuzaliwa kwenye ukoo wenye historia ya maradhi haya, kutokana na hitilafu katika utendaji kazi wa mwili au kutokana na kuharibika kwa kinga zake za mwili. Ulafi waweza kuwa chanzo cha madhara kwenye ini. Homa za ini kutokana na vitu hivi haziambukizi kutoka mtu mmoja hadi kwa mwingine.

Ini ni kiungo kikubwa kuliko kingine cho chote kile kilicho ndani ya mwili wa binadamu. Ini hujengwa kwa nyama na hukaa upande wa kulia wa tumbo. Ini huwa na uzito upatao kilo 1. Ini limegawanyika katika vipande vinne vyenye ukubwa na urefu tofauti. Damu hulifikia ini kupitia hepatic artery na potal vein. Hepatic artery huchukua damu yenye oksijeni kwa wingi kutoka aorta na kuifikisha ndani ya ini. Hepatitis A ni ugonjwa unaoambukiza kwa haraka sana na husababishwa na kirusi aitwaye hepatitis A virus HAV.

Unaweza kupata ugonjwa huu kutoka kwenye maji au chakula kisicho salama au kwa kuwa karibu na mtu mwenye maambukizi ya virusi hao. Ugonjwa huu huweza kuondoka wenyewe bila tiba na mtu aliyepatwa na ugonjwa huweza kutibiwa akapona kabisa bila ya kupata uharibifu kwenye maini yake.

Unaweza kujikinga kutokana na ugonjwa huu kwa kujiwekea tabia ya kuosha mikono mara kwa mara. Mtu anaweza kupata chanjo endapo yupo kwenye mazingira hatarishi.

Dalili za Hepatitis A: Dalili za ugonjwa huu huanza kujitokeza baada ya angalau wiki moja baada ya kupata maambukizi, nazo huwa:. Kichefuchefu na kutapika. Maumivu ya tumbo hasa maeneo ya ini upande wako wa kulia chini ya mbavu. Kukosa hamu ya kula.